Seneta Wa Mtwiz JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 3,643 Reaction score 4,184 Sep 10, 2022 #1 Wakuu, adopter ya PC yangu aina ya HP ilikuwa na damage ile sehemu ya mwishoni ya kuingizia power, Nikabadilisha waya, nilipoiconnect tena, ile sehemu ya PC inapoingia adopter ili kupelela charge ikapiga shoti, Na sasa PC haiwaki. Kwa wazoefu, naomba mnijuze gharama la kufix ili tatizo ili nisije kufanya makosa. Ni HP 6530b. View attachment 2352654
Wakuu, adopter ya PC yangu aina ya HP ilikuwa na damage ile sehemu ya mwishoni ya kuingizia power, Nikabadilisha waya, nilipoiconnect tena, ile sehemu ya PC inapoingia adopter ili kupelela charge ikapiga shoti, Na sasa PC haiwaki. Kwa wazoefu, naomba mnijuze gharama la kufix ili tatizo ili nisije kufanya makosa. Ni HP 6530b. View attachment 2352654