Gharama ya cement kushuka zaidi

Iruru

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
1,469
Reaction score
2,902
Nilikuwa naangalia KTN hapa; naona twiga cement wame suspend uzalishaji wa cement kwa kipindi kisichojulikana kuanzia leo. Tutegemee bei ya cement kwenda chini zaidi.

Wanyonge wa tz wanaendelea kuifurahia nchi na raisi wao
 
una maanisha au ni viceversa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…