Mwana_mapinduzi
Member
- Nov 17, 2011
- 16
- 5
Tafadhali, naomba mnijulishe gharama ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, iliyojengwa miaka ya 2000 hadi 2002 kuanzia Ubungo mataa hadi Mlandizi Pwani. Pia kama mna taarifa za ziada. Je ulikuwa ni mkopo au pesa taslimu za Kitanzania. Pia naomba mnijulishe warrant/guarantee yake ilikuwa ni kwa miaka mingapi?
Natanguliza shukrani zangu,
Natanguliza shukrani zangu,