Wakuu,naombeni ambaye anazifahamu gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti anipe,nipo Mwanza,je ninaweza anzia safari huku? Au hadi wapi? Nataka twende huko na mke wangu,nimejaribu kwa simu ku-download fail halifunguki ni pdf... Ahsanteni sana