tiba, kwa hizo bei alizoweka mkuu hupati lory kubwa la granite aggregates...lile lipo kwenye 1.million. pia ni subject ya kokoto zinapelekwa wapi maana nyingi hutoka msolwa mbele ya chalinze....naweza kukupa contact za jamaa yangu anayo-malory kwa ajili ya shughuli hizo kaagiza UK....uwasiliane naye kama mutafunga deal powa.