Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,316 Reaction score 144,724 Jan 22, 2014 #21 Karucee said: It aint right kwa kweli. Mi nampenda mtu I wont even let my parents do that to him. Ni kukomoana au? Click to expand... Unampenda nani wewe?
Karucee said: It aint right kwa kweli. Mi nampenda mtu I wont even let my parents do that to him. Ni kukomoana au? Click to expand... Unampenda nani wewe?
mountain JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 757 Reaction score 311 Jan 22, 2014 #22 Hee na mafuta ya alizeti na boda boda??? Na tigo pesa???? Bado fahari huduma.!!!!!! Mashine za EFDs!!!!!!
Hee na mafuta ya alizeti na boda boda??? Na tigo pesa???? Bado fahari huduma.!!!!!! Mashine za EFDs!!!!!!
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 Jan 22, 2014 #23 Nyani Ngabu said: Unampenda nani wewe? Click to expand... Hahaaaa. Nampenda mtoto wangu. Wewe unampenda nani?
Nyani Ngabu said: Unampenda nani wewe? Click to expand... Hahaaaa. Nampenda mtoto wangu. Wewe unampenda nani?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,316 Reaction score 144,724 Jan 22, 2014 #24 Karucee said: Hahaaaa. Nampenda mtoto wangu. Wewe unampenda nani? Click to expand... Nami nampenda mtoto wangu.
Karucee said: Hahaaaa. Nampenda mtoto wangu. Wewe unampenda nani? Click to expand... Nami nampenda mtoto wangu.
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 Jan 22, 2014 #25 Nyani Ngabu said: Nami nampenda mtoto wangu. Click to expand... Safiii. Msalimie.
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,118 Jan 22, 2014 #26 Mhhh hyo familia wana NJAA KALII,yn mnasubiri mkwe awatoe kimaisha???..badala ya kumsomesha binti na watoto wajitegeme
Mhhh hyo familia wana NJAA KALII,yn mnasubiri mkwe awatoe kimaisha???..badala ya kumsomesha binti na watoto wajitegeme
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Jan 22, 2014 #27 Dawa ni kupiga mimba tu kisha utapasha kiporo kanisani.
peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,170 Jan 22, 2014 #28 ndiomana uislam ukasema mahari ni ya mwanamke tu, ye ndo mwenyehaki ya kutaja mahari na wengine hawaruhusiwi kuongeza chochote.
ndiomana uislam ukasema mahari ni ya mwanamke tu, ye ndo mwenyehaki ya kutaja mahari na wengine hawaruhusiwi kuongeza chochote.
G guest-1790917349 Guest Jan 22, 2014 #29 khaaaaa jamani this is nt fair kabisa. bodaboda na bness ya tigo pesa? huyo binti ni kitega uchumi au? na yy binti c anakua hali ya mwenza wake kwnn akubali afanyiwe hivyo jamani?
khaaaaa jamani this is nt fair kabisa. bodaboda na bness ya tigo pesa? huyo binti ni kitega uchumi au? na yy binti c anakua hali ya mwenza wake kwnn akubali afanyiwe hivyo jamani?
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,287 Reaction score 13,456 Jan 23, 2014 #30 Fidel80 said: Dawa ni kupiga mimba tu kisha utapasha kiporo kanisani. Click to expand... baaas!! Ndio dawa yao
Fidel80 said: Dawa ni kupiga mimba tu kisha utapasha kiporo kanisani. Click to expand... baaas!! Ndio dawa yao
H handsome 00 Member Joined Dec 16, 2013 Posts 97 Reaction score 19 Jan 23, 2014 #31 duuuuu hapo cha msingi ni kumbeba tuuuuu tuone watafanya nn