Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Watanzania bwana tunajua kutabiri uongo, mwaka 2005 walitabiri cardinal wa Nigeria sasa mwaja na ngonjera mpya. Baba mtakatifu hapigiwi kura au campaign, lazima awe na imani na cardinals wanasali na kufunga ndipo apatikane, haziotwi ndoto kama kikombe cha babu hapa. Tunataka baba mtakatifu mwenye imani ya kweli na mwenye msimamo ambaye ataweza kulitetea kanisa katoliki popote duniani.
hakuna cha kufunga na kusali wala nini ni vigumu sana kumchagua mtu mweusi kuwa pope mwaka 2005 arinze angechaguliwa sema tu ni mweusiWatanzania bwana tunajua kutabiri uongo, mwaka 2005 walitabiri cardinal wa Nigeria sasa mwaja na ngonjera mpya. Baba mtakatifu hapigiwi kura au campaign, lazima awe na imani na cardinals wanasali na kufunga ndipo apatikane, haziotwi ndoto kama kikombe cha babu hapa. Tunataka baba mtakatifu mwenye imani ya kweli na mwenye msimamo ambaye ataweza kulitetea kanisa katoliki popote duniani.
Cardinal Peter Appiah-Turkson
With the sudden announcement of Pope Benedict's resignation on Monday, Bookmakers Paddy Power have drawn up a list of contenders to replace Benedict and one of the the favourite to replace the Pope is the Ghanaian Cardinal, Peter Appiah Turkson.
Cardinal Peter Turkson likely to replace Pope Benedict
Mostly likely atachukuliwa Kadinali toka Latin America, Brazil au Argentina.
Huenda akawa muitaliano safari hii.[/QU HATA AKITOKA AFRIKA BADO KANISA NI MOJA! SO SION HAJA YA KUSEMA ATOKE BARA GAN!
Huenda akawa muitaliano safari hii.[/QU HATA AKITOKA AFRIKA BADO KANISA NI MOJA! SO SION HAJA YA KUSEMA ATOKE BARA GAN!
Mkuu,
Kanisa ni moja lakini inakuwa na influence fulani kuona jamii hiyo pia inathaminika.