Ghadafi/ Libya na Uchaguzi wetu 2015

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Je wewe kama GREAT THINKER unaweza kutupa undani wa connection kati ya Gadafi/Libya na uchaguzi wetu wa 2015



Kazi kwenu ma great thinkers
 
nishalielewa hili fumbo

ana maana ya kuwapoint watu kadhaa ndani ya serikali hii waliokwenda Libya na wakapewa pesa za uchaguzi wa 2015

sasa kuna ubaya gani au pesa zichukuliwe kwa wazungu tuu?


kama nimekosea hiki kitendawili basi tukupe mji
 
Back
Top Bottom