Getting to Heaven!

Getting to Heaven!

kindafu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,346
Reaction score
1,682
"If I sold my house and my car, had a big garage sale and gave all my money to the church, would that get me into Heaven?" A teacher asked the children in a Sunday School class. "NO!" the children all answered.

"If I cleaned the church every day, mowed the yard, and kept everything neat and tidy, would that get me into Heaven?"
Again, the answer was, "NO!"

"Well, then, if I was kind to animals and gave candy to all the children and loved my wife, would that get me into Heaven?" The teacher asked them again.
Again, they all answered, "NO!"

"Well," the teacher continued, "then how can I get into Heaven?"
A five-year-old boy shouted out, "YOU GOTTA BE DEAD."
 
Na akifa ataenda MOTONI.Kwani kanisa sio nyumba ya ibada.Ni jengo ambalo huingia walikufuru na kupiga makele.Hata Bwana Yesu hakuwahi kuingia kanisani.
 
hahahaha.............duh.
icon7.png
 
Na akifa ataenda MOTONI.Kwani kanisa sio nyumba ya ibada.Ni jengo ambalo huingia walikufuru na kupiga makele.Hata Bwana Yesu hakuwahi kuingia kanisani.

wewe una matatizo!mbona maada na mchango wako viko mbali kama ardhi na mbingu!kumbuka ajizi nyumba ya............ na mzahamzaha hutumbua usaha!
 
Na akifa ataenda MOTONI.Kwani kanisa sio nyumba ya ibada.Ni jengo ambalo huingia walikufuru na kupiga makele.Hata Bwana Yesu hakuwahi kuingia kanisani.

Kanisa ni mtu na wala siyo jengo bothlegs, Yesu anasema 'tazama nasimama mlangoni nabisha hodi' hivyo hata wewe ukikubali kumkaribisha Yesu aingie moyoni mwako unafanyika kanisa na utakuwa balozi wa kuwaeleza wenzako wenye mawazo kama yako kuwa 'Yesu ameingia kanisani'
 
Sikubaliani na wewe,kanisa sio mtu.kama unandiko lenye kuthibitisha hivyo naliomba.mimi bado nasisitiza kanisa nijengo walilotumia wale waliokufuru kumuasi mungu.
 
Sikubaliani na wewe,kanisa sio mtu.kama unandiko lenye kuthibitisha hivyo naliomba.mimi bado nasisitiza kanisa nijengo walilotumia wale waliokufuru kumuasi mungu.

na uhakika hata wewe mmoja wapo wa waliomuhas mungu.bazaz we.
 
aduwilly, kama kanisa ni mtu, Kila jumapili ama jumamosi huwa unakwenda wapi? au unamwendea huyo mtu aliyemkubali yesu na kufanywa yeye kuwa kanisa? mbona unaongea v2 visivyoingia akilini?
 
Last edited by a moderator:
mimi naona hii inshu tuipotezee,inaelekea mbagala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom