eyetyna Senior Member Joined Jun 24, 2011 Posts 148 Reaction score 17 Jun 10, 2015 #1 Habari wakubwa kwa wadogo, Nauza viatu hivyo vya kiume, Hutojutia hela yako, utavaa mpaka uchaguzi wa mwaka 2020! Nauza reja reja na jumla, karibuni sana. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia number hii 0718112102. Asanteni sana Get yours, Get smart! Attachments 1433921693670.jpg 26 KB · Views: 298 1433921705785.jpg 33.6 KB · Views: 288 1433921724025.jpg 31.4 KB · Views: 228
Habari wakubwa kwa wadogo, Nauza viatu hivyo vya kiume, Hutojutia hela yako, utavaa mpaka uchaguzi wa mwaka 2020! Nauza reja reja na jumla, karibuni sana. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia number hii 0718112102. Asanteni sana Get yours, Get smart!
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Jun 10, 2015 #2 Unapatikana wapi!??
lau_23 Member Joined Nov 11, 2011 Posts 44 Reaction score 24 Jun 10, 2015 #3 Tupia na bei mkuu@ ayetyna
eyetyna Senior Member Joined Jun 24, 2011 Posts 148 Reaction score 17 Jun 10, 2015 Thread starter #4 Mwana Ilala said: Unapatikana wapi!?? Click to expand... Mkuu napatikana kwenye hizo number hizi 0718 112102, Kwa walio busy na kazi tunakuletea hapo ulipo. Thanks.
Mwana Ilala said: Unapatikana wapi!?? Click to expand... Mkuu napatikana kwenye hizo number hizi 0718 112102, Kwa walio busy na kazi tunakuletea hapo ulipo. Thanks.
eyetyna Senior Member Joined Jun 24, 2011 Posts 148 Reaction score 17 Jun 10, 2015 Thread starter #5 lau_23 said: Tupia na bei mkuu@ ayetyna Click to expand... Bei ziko tofauti hapo mkuu,inategemea unachukua mzigo kiasi gani,lakini pia bei maelewano,si yakushindwa kukufanya uwe smart. Asante Mkuu.
lau_23 said: Tupia na bei mkuu@ ayetyna Click to expand... Bei ziko tofauti hapo mkuu,inategemea unachukua mzigo kiasi gani,lakini pia bei maelewano,si yakushindwa kukufanya uwe smart. Asante Mkuu.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Jun 10, 2015 #6 mkuu una viatu vya clarks original?
eyetyna Senior Member Joined Jun 24, 2011 Posts 148 Reaction score 17 Jun 10, 2015 Thread starter #7 hekimatele said: mkuu una viatu vya clarks original? Click to expand... Ndio hivyo MKUU
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Jun 10, 2015 #8 eyetyna said: Ndio hivyo MKUU Click to expand... Picha tafadhali mwana.
eyetyna Senior Member Joined Jun 24, 2011 Posts 148 Reaction score 17 Jun 10, 2015 Thread starter #9 hekimatele said: Picha tafadhali mwana. Click to expand...
eyetyna Senior Member Joined Jun 24, 2011 Posts 148 Reaction score 17 Jun 10, 2015 Thread starter #10
fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 884 Jun 10, 2015 #11 eyetyna said: Ndio hivyo MKUU Click to expand... hivi ni sandles za clark sio viatu vya kufunika!
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Jun 10, 2015 #12 eyetyna said: Click to expand... naona hujanielewa kaka. Nimesema kiatu na sio sandals. Halafu nilisema Clarks na sio Timberland. Unless a shoe is a sandal to you and a Clarks means Timberland
eyetyna said: Click to expand... naona hujanielewa kaka. Nimesema kiatu na sio sandals. Halafu nilisema Clarks na sio Timberland. Unless a shoe is a sandal to you and a Clarks means Timberland
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,516 Jun 10, 2015 #13 eyetyna said: Mkuu napatikana kwenye hizo number hizi 0718 112102, Kwa walio busy na kazi tunakuletea hapo ulipo. Thanks. Click to expand... Unaulizwa unapatikana wapi we unaeka namba za Simu. Kwahiyo hizo namba ndo kwamba uko Simiyu au Biharamulo?
eyetyna said: Mkuu napatikana kwenye hizo number hizi 0718 112102, Kwa walio busy na kazi tunakuletea hapo ulipo. Thanks. Click to expand... Unaulizwa unapatikana wapi we unaeka namba za Simu. Kwahiyo hizo namba ndo kwamba uko Simiyu au Biharamulo?
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,514 Reaction score 42,644 Jun 10, 2015 #14 fugees said: hivi ni sandles za clark sio viatu vya kufunika! Click to expand... Hahaaa mkuu na kwenye viatu upooo
fugees said: hivi ni sandles za clark sio viatu vya kufunika! Click to expand... Hahaaa mkuu na kwenye viatu upooo
eyetyna Senior Member Joined Jun 24, 2011 Posts 148 Reaction score 17 Jun 15, 2015 Thread starter #15 Asprin said: Unaulizwa unapatikana wapi we unaeka namba za Simu. Kwahiyo hizo namba ndo kwamba uko Simiyu au Biharamulo? Click to expand... Hizo number Mkuu ndo kila kitu ,ukihitaji unaletewa ulipo wewe bosi wangu.
Asprin said: Unaulizwa unapatikana wapi we unaeka namba za Simu. Kwahiyo hizo namba ndo kwamba uko Simiyu au Biharamulo? Click to expand... Hizo number Mkuu ndo kila kitu ,ukihitaji unaletewa ulipo wewe bosi wangu.
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Jun 15, 2015 #16 Weka bei ya hivi vya rangi nyeusi hapa chini halafu useme bei kwa mtu aliyepo Dar Es Salaam na anataka pair/jozi? moja
Weka bei ya hivi vya rangi nyeusi hapa chini halafu useme bei kwa mtu aliyepo Dar Es Salaam na anataka pair/jozi? moja
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,731 Reaction score 2,397 Jun 15, 2015 #17 Biashara zetu wabongo ngumu sana, kusema tu kwamba "sina duka, duka langu ni online tu" inakuwa tabu!
Biashara zetu wabongo ngumu sana, kusema tu kwamba "sina duka, duka langu ni online tu" inakuwa tabu!
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,172 Reaction score 6,421 Jun 15, 2015 #18 eyetyna said: Mkuu napatikana kwenye hizo number hizi 0718 112102, Kwa walio busy na kazi tunakuletea hapo ulipo. Thanks. Click to expand... Weka bei basi utampelekea mteja kisicho na bei, weka bei mkuu eyetyna Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
eyetyna said: Mkuu napatikana kwenye hizo number hizi 0718 112102, Kwa walio busy na kazi tunakuletea hapo ulipo. Thanks. Click to expand... Weka bei basi utampelekea mteja kisicho na bei, weka bei mkuu eyetyna