hahaha yuko salama kabisaaa nimemuhamishia usukumani huku mpaka suluhu ipatikane
kaka upo?husomeki
Usiniambie wewe ni msukuma.
kaka acha tamaaUsiniambie wewe ni msukuma.
kaka upo?husomeki
ni mimi kaka,naona unakaba humu ile mbayaHuwezi amini kaka hii avatar naiona sana ila sijasoma ID kumbe ni wewe? Mambo vp?
hahaahaha siku zote ulikuwa hujui hilo