Get well soon Lady Doctor!

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,559
Reaction score
11,496
Hello wanajamii!

Mwenzetu Lady doctor anaumwa hivyo nawaomba kwa pamoja tushirikiane kumpa faraja na kumuombea apone haraka!

Shem namuomba Mungu akushushie mkono wake wa uponyaji upone haraka!
Ugua pole Lady doctor

Cc: Arushaone watu8 Mr Rocky kiwatengu Bishanga The secretary Mamndenyi Mr Rocky Filipo Mungi Avemaria shansarie C6 charminglady Blaki Womani figganigga amu Paloma sosoliso Kaizer DEMBA mimi49 Baba V Arabela nitonye LiverpoolFC Mzee wa Rula Slave zubedayo_mchuzi stevoh Heaven on earth GRAfan11 Chocs Ben Saanane na wote wanajamii ambao sijawamention!
 
Erickb52 asante mkuu kwa kutujuza, hakika mungu ampe afya njema Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Lady doctor , Kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utapona na kurejea katika afya yako, pamoja.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…