*get well soon arushaone*

nipo kwenye ngorika nakuja best, niteremke wapi?
nipe mwongozo wa kufika eneo hilo!
 
Mkuu Arushaone
Mambo ya mchina keyboard mgogoro!

Usijali mkuu, mchina kawashika pabaya sana hata hiyo nchi ulipo (siitaji) najua wanapasua kichwa kujiuliza why walizembea sana kuwekeza kwenye bara la Africa..

BTW naendelea vizuri sasa, nitamuona daktari next Friday.
 
Kila la heri kamanda
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…