Get these brand new Laptops at very cheap price!

Get these brand new Laptops at very cheap price!

dell vostro?!no nono ukileta inspiron with reasonable price and at least 4gb i will run for it hii kuchakachua capacitysio nzuri sana
 
dell vostro?!no nono ukileta inspiron with reasonable price and at least 4gb i will run for it hii kuchakachua capacitysio nzuri sana

Wala sio kuchakachua mkuu...It was designed that way...kama computer imetengenezwa some hardware to be upgraded it can be upgraded na kama haiwezekani watasema pia ili usipoteze mda wako ku-upgrade kitu ambacho hakiwezekani.

Kama unataka ya 4GB na kuendelea price itakuwa higher zaidi ya hii.
 
du! niliangalia hizo i3 wabongo wanasukuma mbaka 1.5 nikacheka sana wakati ebay ni dolla 350 mbaka 450, wabongo kiboko, big up mkuu tutatafutana, hiyo price ni ya kawaida kulingana na technolojia yake.

Baada ya kununua bidhaa eBay bado utakuwa na gharama za shipping ambazo ni ghali na tax!! eBay inawaserve vizuri US dwellers not Africa especially Tz with no Zip codes
 
Hp pavilion G7
Processor; Intel Core i3
RAM 4GB DDR3
HDD 650GB
Screen: 17.3inches
WiFi
1.3MP Webcam
Installed Apps;
Adobe Photoshop CS6
Adobe After Effects CS6
CorelDraw X6
Adobe Premiere CS6
Adobe Acrobat XI
Ashampoo Burning Studio 10
And more latest apps!
All basic accessories
Price: 900,000/- Negotiable.
Contacts: 0758499423
 
Thanx 4 the information, I'll contact u upon any need
 
Mkuu store yako iko wapi manake una shehena ya vitu sio mchezo.
 
Hiyo dell ya 4gb ram nitapata?
 
Mkuu Young Master kwa kweli bei zako ni nafuu sana,nitakutafuta mfuko ukikaa vyema.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom