Get these brand new Laptops at very cheap price!

Very affordable prices considering i just saw that Dell wth the same specs going for 1.3 Mln!!
 
Huku bongo wanauza computer bei ghali sana...I dont know why wakati computer hazina ushuru.
 
Mkuu Young Master vipi HP ProBook yenye processor core i5, M350@ 2.27GHz unaweza ukawanayo na bei yake unaiuzaje?
 
kwahiyo hiyo bei mpaka sisi wa mikoani tutaipata hivyo hivyo kwa E.M.S
 
du! niliangalia hizo i3 wabongo wanasukuma mbaka 1.5 nikacheka sana wakati ebay ni dolla 350 mbaka 450, wabongo kiboko, big up mkuu tutatafutana, hiyo price ni ya kawaida kulingana na technolojia yake.
 
Naam, karibu sana mkuu.
 
kwahiyo hiyo bei mpaka sisi wa mikoani tutaipata hivyo hivyo kwa E.M.S

Kwa nyie wa mikoani itabidi muongeze ka-gharama kigogo kwa ajili ya usafirishaji approximately haitazidi 25,000/-
 
cool..... unapo import cost huwa ina range sh ngapiiii... na kama ukiagiza kwa dhl au ems huwa ina cost how much..........
 
Cost hutegemea na uzito na kampuni unayosafirishia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom