Get ready for this after marriage.....

Aaah wewe si unamtengenezea kitannda chake upo dunia ya ngap mkuu !! Nshndwe kupta raha kisa swalehee aisee
Kitanda unafikiri hautatengeneza mkuu?utatengeneza but ukikaweka tu kelele mpaka mtaa wa saba na mamaye hatotaka atakwambia acha tu tulale nae nitamuhamisha akishalala,ukizubaa tu unashangaa alarm inakuamsha asubuhi huku umelowa mikojo ya dogo na dogo mwenyewe tayari yupo macho.
 
Inategemea na wenyewe mnavyo jiweka, maana mapenzi ubunifu kama ukisha owa olewa basi ukamchukulia mwenzako kama ndugu yako wakuzaliwa au mazoea mazoea nakusahau zile mbinu zilizofanya muwe pamoja basi ujue utapata mwenzako wakupiga naye mechi siku sio nyingi
 
Kwa nyie mnaolala na watt kitanda kimoja
 
Sometimes madingi wanaweza kutuchukia maana wakikumbuka tulikotoka wanakereka sana.
Alafu watoto wa kiume ndio wanakuwaga wanoko sanaaaa
Huwa wanaanza ule ubabe wa kiume kwamba tuishi hivi,dogo anakuwa ndiye anaepanga masharti kwamba muda huu tulale au tusilale,hapo tusilale ni kilio usiku kucha.noma sana.
 
Duuu Dogo naye bwna
Dogo anam-guard bimkubwa wake asiguswe,hiyo pic namba nne ni kama anamwambia baba yake "baba hichi kitanda tunatakiwa nilale mimi na mama tu wewe kalale sakafuni"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
CHUMBA cha kupanga hapohapo jiko na stoo kitanda cha mtoto kitakaa wapi? Halafu wamama wengine wana tabia ya kulaza mtoto katikati ili wasiguswe wakati wa majamboz.Mtoto asipunguze majambozi atengenezewe ka kitanda chake au makochini vituz vikafanyike huko ili mtoto asibughudhiwe huko.Baada ya hapo mama arudi kitandani kumpa mtoto joto
 
Kwa nyie mnaolala na watt kitanda kimoja
Wengine huwa wasumbufu hawataki kulala peke yao na mwanamke ndani ya nyumba huwa hapendi mwanae alie lie bila sababu za msingi.kumbuka mama baada ya kujifungua mapenzi mnagawana na mwanao,tena wakati mwengine kwa mtoto huwa yanazidi so hizi ndiyo changamoto zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…