Get money frm this mobile application | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Get money frm this mobile application

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mputi, Sep 13, 2011.

 1. M

  Mputi Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Brothers one day nilikwambieni abt my Mobile application,Ina uwezo wa kutuma ujumbe kwa watu wengi kupitia kwenye simu za mikononi, unaweza tafuta Company au any Organization ambayo unadhani wanaweza wakaihitaji service hii then ktk kila sms moja watakayo tumia utapata pesa kulingana na makubaliano yetu. Siyo ishu ndogo we did the same deal kwa watu wa TUWASA(Mamlaka ya Maji Tanga). Kwa kawaida tunashare any opportunity inayojitokeza, mana mafanikio ktk kila kazi yanakuja kwa kushirikiana!
   
 2. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yap kuna dogo anafanya project na alikuwa anataka kufananya mobile application(Billing system)......na hajui wapi aanzie please unaweza kunitumia SRS ya hiyo Application ili kama vp anaweza kutokea hapo hapo....But kama kuna demo please let me know.

  I will appreciate u'r Response!
   
 3. M

  Mputi Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br /> Thats gud,Demo ipo bro if you want to know how the application works
  <br />
   
 4. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iko wapi sasa hiyo demo,I thought kama umei-host? Kama unaweza we ni2mie hapa Jf hiyo SRS
   
 5. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280

  nnipo interested nayo, naweza kuwa mwekezaji napatikana 0655 308308, email.com: cerengeti@gmail.com
   
Loading...