nina terabytes mbili za storage kwenye hardware zangu, sihitaji gigabyte 50 za mtu za mitandaoni, ziwe bure ziwe za kulipia.
Nina terabytes mbili za storage kwenye hardware zangu, sihitaji gigabyte 50 za mtu za mitandaoni, ziwe bure ziwe za kulipia.
Hard drive nyingine iko home nyingine ofisini nyingine mobile, hata nikienda bushi za mbali ambako hakuna net bado nafanya kazi zangu bila ku download ma data, na hata nikiwa na net sihitaji kuchoma bandwidth eti na download data zangu mwenyewe, that's fiscal irresponsibility. Kwa hizi net service zetu za kupima kama mafuta ya taa, swala la kuweka data online may not be the best approach.Siku nyumba itakapoungua na faya wakaja na magari bila maji ukapoteza hizo hard drives, then you will know how important is the back up memory.