zipo nyingi tu
.
Kuna Baidu pan drive Wanatoa 2TB,
na kuna, Tencent wao 10TB,
na pia kuna 360CLOUD wanatoa 36TB, hawa ni hatari, ila sema tatizo hawa 360cloud ni chinese language!
.
.
Ku Upload data to that cloud storage ndo itakucost doo mob sana, hata ingawa wanadai ni free. Especially ka wewe unapenda kununua na kutumia data bundles