Pale serengeti hakuna lodge bana ila royal na mbele yake kuna moja inaitwa kifaru ni nzuri tena kuna geti kabisa, kuna siku nlizama ile ya home alone gorofani nkavunja kitanda stimu yote ilikata, pia pale uhuru piki kinondoni inayofuata ni lodge pia, na nyuma ya uhuru piki opposite na mjengoni pub kwa
Madam B kuna ingine nzuri wakongo nyomi