Gesi ya Mtwara imeishia wapi?

Wawekezaji waliokuwa wameamua kuwekeza dola bilioni 30 kwenye uchimbaji wa gas Tanzania, wameondoka na kwenda kuwekeza Msumbiji baada ya mazingira ya uwekezaji Tanzania kutoeleweka. Watasema hata kama mazingira yatarekebika, hawataweza kurejea kuwekeza Tanzania kabla ya miaka 5 kupita.

Kupanga ni kuchagua, gas haiozi, Dunia haisimami, maendeleo ya kupata teknolojia ya kupata nishati hayasimami. Siku tutakaposema tupo tayari kuvuna mali za asili zetu, huenda Dunia itakuwa haina haja ni gas yetu.
 
1967 tuliambiwa tunakuwa Taifa la Ujamaa na kujitegemea!, aliehubiri hayo kwa 23 years kafia Ughaibuni St Thomas kwenye hospital ya Kipebari

Mwanasiasa sio Mtu wa mchezo
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Asante CHIGE umejibu swali langu vema sana. Kumbe wote JK na JPM wana nia njema ila kila mtu na vipaumbele vyake.
Thank You!
 
Imeoza huko chini..watu watatoa mizoga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…