Gesi Mtwara: Kikwete apingwa

Gesi Mtwara: Kikwete apingwa

....ukweli huo labda unauona wewe lakini Watanzania tulio wengi hatuoni ukweli wowote pale anapodai kwamba "Tanzania hakuna mgao wa umeme" wakati mgao unaendelea kila kukicha na uongo kwamba Dar inachangia 80% ya mapato ya Serikali kitu ambacho hakina ukweli wowote hasa ukitilia maanani Dar hakuna zao la biashara wala madini ya aina yoyote yanayochimbwa jijini. Ni professa lakini hana tofauti na Mulugo kwa kutoa kauli fyongo ambazo kamwe hawezi kuzithibitisha.

Profesa Muhongo ni kati ya Watanzania wakweli wa nafsi na matendo. Alitamka anachoamini, kuwa kudai rasilimali asilia iliyopo kwenye eneo fulani la Tanzania ni lazima iwanufaishe wakazi wa eneo hilo pekee kwanza, na wengine baadaye ni uhaini. Kwa kuwa Watanzania wamezoea kauli za kisanii, kauli za kuzungukazunguka, ni dhahiri wataichukia kauli ya prof. Tunafahamu uwezo wa Prof. Muhongo kitaifa na kimataifa, kama Watanzania wataendekeza ukambatiaji wa kauli za kubembeleza, kauli za kisanii hata kama zinauzunguka ukweli, prof. anaweza kuondoka lakini atakayekuwa amekula hasara siyo prof. bali ni Watanzania wenye tamaa ya kuongozwa na wanafiki wasio na uwezo na kuwakataa watanzania wenye uwezo, dhamira na umahiri wa kiutendaji.
 
jeikei tumekulea sisi wenywe nachingwea kipindi huna hili wala lile leo uje hapa utusumbue??
tutaona mwisho wako
 
Serikali kama ina nia ya dhati ya kundeleza wananchi wake iweke wazi mipango ya maendeleo mikoa ya kusini itayotokana na faida ya gesi; Ubabe na majibu mepesi mepesi ni ishara tosha kuwa serikali inataka kuwaacha watu wa kusini kwenye mataa. Nawaunga mkono wa Kusini wenzangu ..... umaskini, kudharaulika na kuachwa nyuma sasa baaaaaaaas.
 
Narudia kusema hili swala la Gesi Mtwara ni mtego na njia ya kumfukuza Prof....Nia ni kuwa wizara hii ishikiriwe na wasanii na kuonesha kuwa na elimu kubwa sio kigezo cha uongozi..hivyo tuendelee kuongozwa na wajanja wanjanja siku za mbele.

Kwa kiasi fulani nakubaliana nawe LAKINI, ninavyo mimi ni zaidi ya hapo:

Mimi nadhani swala la wana Mtwara limekaa vibaya! Unajua hapo kuna ITEREST za Biashara za Wakubwa (Magharibi na Mashariki), pia Makampuni ya kufua umeme huko Dar yanajiona yapo hatarini kukosa ulaji. Naambiwa wanapata mabilioni ya shilingi kwa siku... unadhani watashindwa kufadhili CONFLICT Mtwara?

Wanamtwara wadai Levie yao, sijui ni 0.4% (kama ambavyo wana Lindi wanapata ndiyo maana wamekaa kimya) na Taifa lidai Coorporate TAX, 30%.

Nakumbuka pia kuwa ile Liquified Gas... inatakiwa kufuliwa Mtwara na Lindi ... je, haiwezi kutoa ajira?

I stand to be corrected.
 
Lindi hawajakaa kimya mkuu ila mazingira yamekuwa tofauti wao walishaingizwa mrija tayari kama wenzao wa Geita, Mererani, shinyanga nk na sasa mabwana wakubwa wanaendelea kunyonya kwa ulaini kwa kivuli cha rasilimali za Taifa.

Hata hivyo wao wataanza awamu ya pili ya ulinzi wa rasilimali zetu ambayo itajumuisha nchi nzima baada ya pilot area yetu yaani mkoa wa Mtwara kufanya vizuri. GESI KWANZA VYAMA BAADAE, Ni hayo tu
 
....ukweli huo labda unauona wewe lakini Watanzania tulio wengi hatuoni ukweli wowote pale anapodai kwamba "Tanzania hakuna mgao wa umeme" wakati mgao unaendelea kila kukicha na uongo kwamba Dar inachangia 80% ya mapato ya Serikali kitu ambacho hakina ukweli wowote hasa ukitilia maanani Dar hakuna zao la biashara wala madini ya aina yoyote yanayochimbwa jijini. Ni professa lakini hana tofauti na Mulugo kwa kutoa kauli fyongo ambazo kamwe hawezi kuzithibitisha.
Hiyo wizara apelekwe Dr Mwakyembe uone atakavyo chunguza hiyo mikataba na kutoa mapendekezo jinsi ya kufanya na kuchukua hatua!!! Hao watu wake kwanye ministry ndio hao hao waliotengeneza makataba fake, hivyo lazima wao na mkubwa wa nchi wampoze, na yeye ni mwoga hawezi kufanya kinyume na boss wake!!!!

Kama huna hoja kaa kimya au uliza ujuzwe kwanza ndio ujenge hoja. Hebu tueleze ni kwa namna gani korosho imewashinda wanainchi wa Mtwara, tuanzie hapo kwanza ili upate darasa kabla hatujaendelea na hoja ya gesi.

Safi mkuu vilaza kama huyu Ndahani ni wa kuwapa live,wasitujazie page kwa KUDUMISHA FIKRA ZA MWENYEKITI(DHAIFU a.k.a KILAZA),mtwara hawachezi na NYANI WASIJE VUNA MABUA kama wenzao wa MWADUI.
 
Back
Top Bottom