GE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya dola vimejiandaa ili uchaguzi ufanyike kwa amani

GE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya dola vimejiandaa ili uchaguzi ufanyike kwa amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.

 
Uchaguzi wa serikali za mitaa24 mlikiri kuwa numeuchezea nani awaamini tena? Mimi sitoenda kupiga kura.
 
Back
Top Bottom