Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema:
“Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli ya mtu mmoja, uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na uchaguzi unaandaliwa, sasa mtu kama ana mambo yake ayapeleke kwenye mamlaka yatafanyiwa kazi, lakini hauwezi kukurupa ukasema hakuna uchaguzi.”
“Tumejipanga kuhakikisha maandalizi yote ya uchaguzi yanafanyika, ili watanzania watumie haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.”
Mr GERSON Msigwa; The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports & Chief Government Spokesperson of Tanzania, hapo je ? @Abraham Lincolnn
Angejua tuko wengi sana tunaotaka mambo yawekwe sawa kabla ya uchaguzi. Mbona wanaogopa sana hawa jamaa. Hata wakiwa na Mtume wao mwamposa tutawapiga chini.
Lissu ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani. Anazungumza kwa niaba ya Watanzania waliopp katika chama chake kama jinsi huyo kijana anavyozungumza kwa niaba ya watesi.
Mr GERSON Msigwa; The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports & Chief Government Spokesperson of Tanzania, hapo je ? @Abraham Lincolnn
Nimetafuta neno "NEC" katika utambulisho wako sijauona, maana yake si mtu sahihi wa kutolea ufafanuzi wa masuala ya Uchaguzi ambayo yanapaswa kuratibiwa na Tume huru ya uchaguzi.