Mashariti yanajukana mbona,kama huna nyumba au kiwanja hupati kitu.Hivi ni mashart gani naweza kufata kama kijana wa kitanzania nikapata hata million 4 nikafanya biashara ambayo serikari inipe mda wa miaka miwili nirudiashe kile kiasi na riba juu wakuu..
Maana business plan ninayo
Sasa mi kijana ndo najitafuta ninataoa kufanya biashara ..Mashariti yanajukana mbona,kama huna nyumba au kiwanja hupati kitu.
Tafuta kadi ya CCMHivi ni mashart gani naweza kufata kama kijana wa kitanzania nikapata hata million 4 nikafanya biashara ambayo serikari inipe mda wa miaka miwili nirudiashe kile kiasi na riba juu wakuu..
Maana business plan ninayo
Tofauti na hapo nenda kausha damu nawao hupati million 4 chini ya hapo. Ccm bado haijatengeneza mazingira mazuri yakuwawezesha vijana hasa kwenye inshu ya mitaji.Sasa mi kijana ndo najitafuta ninataoa kufanya biashara ..
Wanataka nyumba au kiwanja mi natoa wapi mbna hawajitambui
Kuna 200 kwa vijana, ila sio vijana wa Tanzania bali vijana wa ccmSasa mi kijana ndo najitafuta ninataoa kufanya biashara ..
Wanataka nyumba au kiwanja mi natoa wapi mbna hawajitambui
Ngara tuwe seriously mkuu daaah...Tafuta kadi ya CCM
Mbaga sasa kusema nikipata Kadi tu tayari nishamaliza sioKuna 200 kwa vijana, ila sio vijana wa Tanzania bali vijana wa ccm
NaamMbaga sasa kusema nikipata Kadi tu tayari nishamaliza sio
Daaah natafuta kadi baada ya hapo basi...Naam
Ukweli ndo huo tembelea TAWI la CCM lililo karibu nawe upate kadi,Ngara tuwe seriously mkuu daaah...
Kweli nahitaji ujue
Mlijibiwa vile ili kuridhisha kelele zenu za kupinga ununuzi wa ndegeHv c n hii hii serikali ya kishetani ilisema hizi ndege zinaleta hasara au?
Ahahahaha daaah mbna kazi yenyewe hataereeeeeUkweli ndo huo tembelea TAWI la CCM lililo karibu nawe upate kadi,
Jipendekeze mno,
Nakuhakikishia baada ya muda wewe ndo utakuwa unapewa pesa ukagawe Kwa machawa chipukizi
Unifate wapDaaah natafuta kadi baada ya hapo basi...
Na nitakufata
Njia rahisi mkuu we hata kama humpendi samuya na ccm, nenda ofc za ccm mtaani chukua kadi kinafki uwe 'mwanachama'...hapo utakuwa 50% umefanikiwa kupata mkopo!Hivi ni mashart gani naweza kufata kama kijana wa kitanzania nikapata hata million 4 nikafanya biashara ambayo serikari inipe mda wa miaka miwili nirudiashe kile kiasi na riba juu wakuu..
Maana business plan ninayo