DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
"Kesho ni siku ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliitangaza hakutakuwa na sherehe lakini hatutarajii kesho kuna watu watathubutu kuvunja sheria kwa kufanya matendo ambayo yanavunja amani.
"Na tukio lolote la kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria. Hatutarajii kuwepo kwa maandamano kwa sababu hakuna kibali kiliombwa na kilichotolewa" Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali.
"Na tukio lolote la kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria. Hatutarajii kuwepo kwa maandamano kwa sababu hakuna kibali kiliombwa na kilichotolewa" Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali.