Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,099
- 5,881
NO REFORMS NO ELECTION
Na mimi naongezea "No Reforms No Election"View attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.
Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.
Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.
Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni
Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.
Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.
"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.
Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.
"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.
Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.
Chanzo: Mwananchi
Mpumbavu mama yako.Hao wapumbavu wa chadema na Gwajima
Ila yule anayeteka na kuuwa watu ambao haijulikani hata wamemkosea nini ndiye mwenye akili, au sio!? Unang'atwa wewe.Hao wapumbavu wa chadema na Gwajima
Jitu lilioshiba TUMBO la maviView attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.
Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.
Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.
Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni
Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.
Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.
"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.
Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.
"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.
Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.
Chanzo: Mwananchi
Bila mabadiliko mtakachofanya sio "Uchaguzi ila UCHAFUZI". Unakereka wamekutia dole!?Wanakera sana na hiyo no reform, hii jeuri ya reform tunaiona mtandaoni tu ngoja oct kama utaona mtu anaweza kushindana na serikali.
View attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.
Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.
Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.
Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni
Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.
Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.
"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.
Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.
"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.
Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.
Chanzo: Mwananchi
Wewe naye free Palenyoko si uende hukohuko Israel akakutwange. Nilikuwa nawaonea huruma Palestine ila nimeona ni ujinga, hasa watu kama wewe uko kidini, wanaotaka reforms nawewe unayetaka Taifa huru la Palestine mna tofauti gani acha unafiki kwanza. Usiangalie kwa macho ya tinted.Allah atamfanyia wepesi mama yetu
Free palestine 🇵🇸
Safari hii upuuzi utaondoa wapuuzi wote. No Reforms no Election foreverView attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.
Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.
Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.
Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni
Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.
Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.
"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.
Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.
"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.
Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.
Chanzo: Mwananchi
Hata chadema ikiingia unategemea hakutakua na viongozi walafi! Kwanza wafuasi wenu wengi ni wakristo, na asilimia kubwa ya Tanzania ni waislamu, na wanaoipigia kura ccm wengi ni waislamu, na wengi pia ni wakristo, japo ccm wana madhaifu yao, but kikubwa amani.Ww jizi la kura hii kampeni haikuhusu. Achia sisi tuliochoka kuburuzwa na chama la majizi.
iMahakama ya kimataifa ICC ituondolee huyu mpuuzi. Wanatuibia na kuomba mikopo ya serikali wanatumia na familia zao.View attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.
Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.
Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.
Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni
Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.
Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.
"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.
Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.
"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.
Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.
Chanzo: Mwananchi
Na mimi nasema "Allah Atawalipia Kisasi Waliotekwa na Kuuawa" kwa kuwa imeandikwa "Kisasi Ni Haki" na "Atawafanyia Wepesi Ndugu, Watoto na Wenza wa Waliotekwa na Kuuawa".Allah atamfanyia wepesi mama yetu
Free palestine 🇵🇸
No REFORM No ELECTIONZama hizi sio za kutosha watu kenge wewe we mwenyewe huu mwaka huumalizi utakua umeshakufa no reform No election
NAona bado una kiu ya kunywa damu ya mtu! Damu ya Mzee Kibao haikutosha kukata kiu yako!?Tuanze, wewe na nani? Chadema wenzio? Bora tulia ulee familia, otherwise yatakayokukuta usije ukalia humu
Wewe naye free Palenyoko si uende hukohuko Israel akakutwange. Nilikuwa nawaonea huruma Palestine ila nimeona ni ujinga, hasa watu kama wewe uko kidini, wanaotaka reforms nawewe unayetaka Taifa huru la Palestine mna tofauti gani acha unafiki kwanza. Usiangalie kwa macho ya tinted.