mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,499
- 18,166
Katika mazingira yoyote ya operesheni za habari, kuna kanuni moja isiyovunjika, inasema "Unaweza kuzuia sauti za ndani, lakini huwezi kudictate vyanzo vya nje."
Ndicho kinachomkumba Msigwa sasa. Anajaribu kuextend control mechanism zile zile anazotumia kusimamia leseni za online TV za ndani, akidhani CNN inaweza kuendeshwa kwa remote ya lokal politics.
Lakini intel ya kimataifa haifanyi kazi hivyo.
Swali la msingi ni kwamba wale aliowahutubia hawakupewa nafasi ya kuuliza maswali ambayo Watanzania wanauliza kila siku.
Kwanini watu waliuawa? Kwanini miili haikurudishwa? Kwanini mama mjamzito alipigwa risasi mgongoni? Kwanini majeruhi walipelekwa mochwari wakiwa hai?
Hayo ndiyo maswali ya msingi na ndiyo maswali yanayojenga record ambayo dunia inaiangalia.
Ukweli ni kwamba Msigwa anajua kabisa CNN haiombi vibali kwa Waziri, haihitaji leseni, na haitishiwi na simu kutopokelewa.
Hata BBC na Al Jazeera hawatembei kwa script ya propaganda ya ndani.
Mitandao hii imezoea kufanya kazi kwenye active warzones, haitoweza kunyamazishwa kwa press conference moja ya maneno matamu.
Ndio maana swali linaendelea kuuma, Kama una confidence na version yako ya matukio, kwa nini CNN hujawakaribisha waulize maswali hadharani?
Kwa nini transparency inakuwa tabu pale inapohusu roho za watu, lakini inakuwa rahisi pale inapohusu speeches kwenye majukwaa yaliyodhibitiwa?
Katika ulimwengu wa intel, jina halisi la hili linaitwa narrative shielding, kujenga ukuta wa maneno ili ukweli usipenye.
Lakini kuna jambo moja hawaelewi, ukweli ukiingia nje ya mipaka, hauwezi kurudishwa ndani ya bahasha.
CNN tayari wameverify, wameweka rekodi, na hakuna mtu hata mmoja aliyoweza kubainisha uongo mmoja kwenye uchunguzi wao.
Ndiyo maana hitimisho linabaki pale pale, Wenye nia ovu sio wanaotaja ukweli, bali wanaojaribu kuufunika.
Na Watanzania wa sasa hawadanganyiki na propaganda za jana.
cc😛hb