GERRARD vs SCHOLES vs LAMPARD, yupi ni 1, 2 na 3?

Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.

Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.

So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
1.Scholes
2.Gerald
3.Lampard
 
Kiuhalisia hakuana kiungo alimkutia Paul Scholes.. hata akina iniesta na xavi walimbulia kofia.
 
Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.

Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.

So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Huyo ni Xavi!
Screenshot_20220418-133051_Twitter.jpg
 
Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.

Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.

So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Huyu ni iniesta..

Mpaka kocha anasema leo hatufanyi mazoezi bali tunaangalia video za scholes...
Screenshot_20220418-133242_Google.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom