Xavi vs Pirlo vs Iniesta, yupi ni 1, 2 na 3?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,743
Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.

So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?

15ae8687d995762e2b56e110b1f07390.jpg
View attachment 2196163
 
Xavi huyo 1 bingwa kuigusa mara moja anamaliza 90 jezi saaafi kama imetoka dukani.2 namuongeza Shinji Kagawa huyu style yake Mimi mtupu sema wachawi tu waliniroga goti nikatundika daruga mapemaaa
 
Mkuu kongole kwa hili
1.hao magwiji wa Barca kwenye 433 walikuwa on kwa kweli
Tatizo ni mahitaji ya timu kama Barca ilivyokuwa na mwalimu Jose Enrique akaja na formula tofauti kidogo
2.pirlo alikuwa na jicho la mwewe kwenye passing ability na positioning kuliko hao magwiji ya Barca

Kwangu mimi pirloo ni namba moja
 
1. Iniesta

kama mpira ungekuwa ni mapenzi huyu jamaa angekuwa Romeo .,ukimtazama utadhani mchezo mrahisi kuliko neno lenyewe , Pengine mie nitaoneka namsifu sana angali sijawahi hata mtia,Machoni muulize hata yule dogo Fundi wa Dunia mwenye Tuzo za Ballon d or nyingi kuliko mchezaji yoyote duniani aliezaliwa kule Rosario Argentina, atakujibu.

2. Xavi , anakupa hapa pasi alafu anaomba pale, alafu anakupa tena pale, yupo kama anautaka mpira halafu kama hautaki ..1 & 2 lazima upoteane ukiwa middle ya timu pinzani .,Masimulizi haya watakusimulia kina Alonso.,Raul., Ramos., Modric., na wengine waliobahatika kuwa wapinzani wake
Akiwemo timu itapiga pasi million 5.6 hiyo ni first half tu.

3. Pirlo , Italia pale kuna mamido ambao washazoea kula sakramenti katika viunga vya Watakatifu wa Rome,Papa na wenzie.
Mamido wa namna hii , Ni nadra sana Kumkuta na Dhambi....Hivi unaelewa unapoambiwa hana 'DHAMBI' basi majibu mengi wanayo Waitaly na Wale mabibi kizee wa Turin, anapiga Pasi kwa kuamisha uwanja toka kanaan mpaka Syria na Misri dhambi anazitoa wapi ,
Wakati akimaliza kuwanyanyasa mabeki na mamidfilder wachovu , huungama dhambi zake.
Waitalia wengine watakatifu ni Jorginho na Marco Verrati
 
Hongera mkuu, uchambuzi bomba sanaaaaaaaaaaaa

Hahah umenichekesha mtakatifu pirlo
 
pirlo mtoe apo mana ata kiuchezaj hafanan na kina iniesta n xavi ,bora hao wawil ungewalnganisha n modric ama viung w aina iyo inge make sense kdg.
 
1.iniesta
2.Xavi
3.Pirlo
4.Modric
5.Cazora
6.David Silva
7.
8.
9.
10.
1. Dinho
2. Zidane
3. Iniesta
4. Pirlo
5. Xavi
6. Viera
7.Modric
8 Mtakatifu Carzola
9. Yaya Toure
10.
11
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom