Yono Kevela mwenzetu, akina Majembe na wengine huwa hawataki kazi?
wengine wanalia coz walipewa notes ya masaa matatu. kuanzia saa sita usiku hadi saa tisa. huu ni ukatili. kwanini wasingewapa mda wa kutosha wa kuhamisha vitu vyao? hapo wamebolewa haraka lakini patakaa mwaka bila kujengwa kama pale magomeni(migomigo).
Hao jamaa wala siwaonei huruma, walishalipwa fidia wakaila kisha wanaenda mahakamani.
Tangia mwanzo waliuziwa hizo nyumba lakini sio plot, na wakapewa sharti kutofanya ujenzi wa ziada. Na hao wanasheria waliokula hela yao matapeli wakubwa!
Tutabanana hapa hapa mjini, Sasa hv wanahamia manzese
Hao jamaa wala siwaonei huruma, walishalipwa fidia wakaila kisha wanaenda mahakamani.
Tangia mwanzo waliuziwa hizo nyumba lakini sio plot, na wakapewa sharti kutofanya ujenzi wa ziada. Na hao wanasheria waliokula hela yao matapeli wakubwa!
wale hawastaili kulia ndomana unao zoezi limeenda vzuri mana m2 anaona afanye fujo kwa lipi waliuziwa 5m na wengine awajamaliza deni alafu unakuja kulipwa 19m wale wenye frem wote 3.5m japo awakuwa halali mana awakuruhucwa kujenga walipotaka kushitaki mara ya kwanza waliitwa wakaambiwa
wacshitaki wapewe 35m wakakataa wakaona watapata nyingi zaidi wakienda mahakamani wakaponda pesa leo hii wameumbuka wengi mana pesa walishatumia