Do! ebwana weee! kama lingekua lipo Bongo,kwa maisha yetu na hali ya maisha yalivyo,mbona ningejitafutia kesi hata ya kubaka kuku mchana kweupeee alimradi nifungwe jela hio.kama hali ya jengo ndo hivyo fikiria huo msosi wake,Aaaaaaa sipati picha.
''penye miti hapana wajenzi'' wahenga walishasema unaweza shangaa gharama zote za kujenga hilo gereza wafungwa wenyewe wanapatikana kwa taaaaaabu kweli hebu lijengwe pande za mtu mweusi.