Access Denied
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 655
- 211
Inawezekana hujamuelewa vizuri, na wakati mwingine watu
wa CLOUDS huwa wanatumia lugha fulani ya mzunguko ambayo
inakufanya mtu usichoke kuwasikiliza, mara nyingi huwa
wanachanganya na kautani fulani hivi........ Unatakiwa
kuwasikiliza kwa umakini na usiwe mwepesi wa kuchanganya
chuki zako binafsi wakati unawasikiliza hapo utawaelewa na
kuburudika pia.

Katika kipindi cha kuperuzi ameanza kutetea kua inawezekana zile fedha tsh mil 150 zilizokua zimeibwa na majambazi kariakoo kisha wananchi kuzinusuru toka mikononi mwa majambazi na kisha kuzikabidhi kwa polisi kisha polisi hao kukabidhi begi tupu kituoni kwamba hao askari hawakugawana fedha hizo. Hando ameendelea na msimamo huo na kua yeye haamini kama askari hao waligawana fedha hizo eneo la jangwani.
Swali ni je yeye ni nani hadi atoe conclusion hiyo mbele ya media kabla hata kamanda kova atakae toa leo matokea ya tume aliyoiunda kuchunguza sakata hilo?
Au ndo Hando anatumika kutuandaa matokeo ya tume hapo badae?