Hio ya kukisababisha chombo kiwe katika mwendo nafikiri ni gravity ndo hakuna engine inayo support mwendelezo wa speed wakati kipo katika orbit ninavyojua incase of maintenance Kuna special tank ambazo zina Gas Hivo gas hizo hulipuliwa na sat itapata thrust kikumbo na kuondoka katik orbit na kufanyiwa matengenezo ,Hili kama kuna mwenye maelezo more alijibu