George Waitara alitoa wapi zile pesa?

Tunazunguka wee halafu tunarudi palepale........Lt Gen Ablurahman Mgonja Shimbo a.k.a Baba Randolph
 
Ninachojua mimi huyu Sumaye hata Havard alipelekwa na serikali ya JK! Ndio kusema alilipiwa kila kitu jamani!! Hawa wote lao moja, usiwaone hivi!!!

Sio kweli , Sumaye kwenda kusoma Marekani alilipiwa na wamarekani kwa mpango maalum ulioanzishwa na aliyekuwa balozi wa marekani Tanzaaia akiitwa STITCH wakati huo Clinton akiwa Rais wa marekani! Kama kweli muungwana alipoingia magogoni alivirudisha vijisenti vya Waitara na Sumaye hazina, mbona anashindwa kuvirudisha vijisenti vya Shimbo ili vitusaidie kuwapa mikopo vijana wetu wa vyuo vikuu?
 
Back
Top Bottom