Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
Ndugu JK kwanza hongera sana kwa bidii zako wakati fulani unazozinfanya.
Tunakuacha njia panda pale unapoanza na mwisho humalizi. Ulianza vyema sana wakati umekuja madarakani, Ulichukua vijisenti vya Sumaye ukarudisha hazina ukakaa kimya kama kawaida yako.
Baadaye ulijua na hata mimi nilijua kwamba Mkuu wa majeshi wa zamani alikuwa na mapesa ambayo alitaka baadaye kuanzisha airline yake. Ukakomba na ukaa kimya.
Mbona mimi bado nataka kujua hizi huyu Waitara alizipata wapi? Tafadhali unaweza kusema sasa Mr.Prezidenti?
Je kuna data za hii issue jamani? Hivi ndiyo JK alivyoanza.