Mchambuzi wa masuala ya kiusalama George Musamali akiwa katika Mahojiano na Shirika la Habari BBC alijibu swali hili, Je dalili za vurugu zilikuwepo mapema au habari za kiintelijensia zilipuuzwa?
Alieleza kuwa ilitarajiwa kuwa watanzania wa Bara ni watulivu na hata mamlaka mbalimabali za serikali waliaamini kwamba isingewezekana wananchi kufanya Maandamano ambayo kwa sehemu kubwa yalichochewa na Vijana Mitandaoni iliyokuwa dalili tosha kwa Vyombo vya usalama kuwa tayari kukabiliana nayo
Pia ameongelea kuhusu Huduma ya Intaneti kuzimwa jambo ambalo liliwafanya wananchi kukosa taarifa na ni njia moja wapo iliyokuwa inachangia uchochezi zaidi kwa kukosa taarifa zilizothibitishwa