Jimama la Tabata Kimanga alilolipata limeshampotezea Dira yake ya Kucheza Soka na ndiyo ameshapotea hivyo.George Mpole wewe ni kijana uliyevimba kichwa baada ya kuwa mfungaji Bora msimu uliopita!
Picha lilianza mechi ya kwanza ya Ligi vs Simba wewe ukajificha Kwa makusudi eti hautakuwepo Kwa maana eti utokee dakika za mwisho kama sapraisi Kwa Simba na Bado hukufanya chochote hata shoti on target!
Wenzako wanasafiri kimataifa wewe unajifanya unaumwa ukaacha kwenda!
haya kwasasa najisikia umejitoa kwenye timu eti Kuna pesa unadai!
hivi hapo Geita ni wewe peke yako tu unadai?
mbona unajifanya staa kabla hata ya ustaa wenyewe?
Kwa akili zako ndogo na finyu unadhani dirisha Dogo unaweza kwenda Simba au Yanga,
Kwa taarifa Yako hata Ihefu huwezi kwenda!
Rudi ongeza bidii kwenye timu kama ipo ipo tu lakini sio huku kulazimisha ustaa utakuja kuumbuka..
Au kama una passport na viza nenda uarabuni ukacheze Ligi daraja la pili huko..
Kila Mtu ana Majukumu yake na Michongo yake, inawezekana wengine hawadai ila wana vyanzo vingine vya Mapato ila kwake yeye anategemea Pesa hizo hizo na familia inamtegemea piaNi yeye peke yake anadai hapo Geita?
Ukitaka ubaya dai chako.Kosa lake nikudai malipo yake?
Nyie mdanganyeni tu GeorgeKila Mtu ana Majukumu yake na Michongo yake, inawezekana wengine hawadai ila wana vyanzo vingine vya Mapato ila kwake yeye anategemea Pesa hizo hizo na familia inamtegemea pia
Hao wenzie unaowasema watakua hawazijui haki zao.Ni yeye peke yake anadai hapo Geita?
Mtoa post ni mpuuzi tu.Nyie mdanganyeni tu George
Mtoa mada Ana points Sana tu
Kua George asidai haki yake abaki na masononeko,Nyie mdanganyeni tu George
Mtoa mada Ana points Sana tu
NimeaminiUkitaka ubaya dai chako.
Usinikumbushe ya ditram nchimbi.Kuna namna mbalimbali za kudai haki, yeye kachagua mgomo na yupo Sawa. Sasa bila kulipwa atakula nini na familia yake?
Kwahiyo alivyosusa ndio anapata hela?Kila Mtu ana Majukumu yake na Michongo yake, inawezekana wengine hawadai ila wana vyanzo vingine vya Mapato ila kwake yeye anategemea Pesa hizo hizo na familia inamtegemea pia
Kama anawadai, basi Yuko sahihi. Ila anachokosea ni njia aliyotumia kudai hiyo haki yake,maana anajiumiza yeye. Kama ingekuwa ndio effective way ya kudai chake, basi angekuwa ashapewa.Kila Mtu ana Majukumu yake na Michongo yake, inawezekana wengine hawadai ila wana vyanzo vingine vya Mapato ila kwake yeye anategemea Pesa hizo hizo na familia inamtegemea pia
Akisusa atapewa ndioKwahiyo alivyosusa ndio anapata hela?