Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mji mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Waziri Mkuchika ametangaza uamuzi huo kwenye kikao cha kamati kuu ya jimbo kilichokuwa na lengo la kuzungumzia mafanikio ya jimbo hilo.
Mkuchika aliingia bungeni mwaka 2010, amedumu katika nafasi hiyo kwa miaka 20.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Credit: TBC Digital