PreGE2025 George Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu 2025

PreGE2025 George Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hamna maajabu katika uongoz wake...miaka yote alokaa ameshindwa kuihudumia newala vzr japo pale mjini tu so sad

akyamungu barabara hamna kitu Yan hamna kitu kutoka mtwara mjini ad newala ukiwa na private kipindi cha mvua unaweza kulia

Apumzike tu kwa miaka yote iyo mashimo aloyachimba kibaaao, huenda alikua kiongozi mzuri ila hakua muwajibikaji mzuri
 
Miaka 20 bure kabisaa.yule w VETA yy bado TU?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hivi mkuu !waziri analipwa sh ngapi kibongo bongo!?mbali na mshahara wa kibunge!!?
Kuna mjinga Fulani F4, alipata 4, akaajiwa ualim.. ,sasa anapewa Jimbo! Kisa, alimzalish. a mtoto. Nchi ni ngumu hii.
Ukanda ule,walim.. wengi wa jinsia ile,wamepewe vyeo vikubwa,wanajua kutumia uchumi wao wa chini vizur
I mk
 
Huyu Mzee pamoja na kuwa waziri kwa mda mrefu sijawahi kumsikia akiwa na kashfa yeyote ile ya ufisadi

Ana staafu ubunge
View attachment 3279117
Tuulize wakulima wa korosho tukuambie huyu Mzee ni sawa na zimwi likujuajo ..ameididimiza Newala mpk imekuwa Jimbo la hovyo licha ya kuwa na utajiri wa korosho!!


Amekalia karibia nusu ya vyeo vyote lkn Jimbo lake lipo nyuma kimaendeleo
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini, George Mkuchika ametangaza rasmi kutogombea tena nafasi ya ubunge baada ya kutumikia katika nafasi hiyo kwa miaka 20.

Katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Newala na katika mikutano yake anayoifanya jimboni humo, Mkuchika ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum amesema ameamua kutogombea nafasi hiyo kutokana na umri alionao, lakini yupo tayari kuwa mshauri kwa yeyote atakayetaka ushauri wake.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
 

Attachments

  • 1742720936331.jpg
    1742720936331.jpg
    719 KB · Views: 14
Mwenyezi Mungu ambariki mzee wetu mh.Kamarada Mkuchika aaamin aaamin !!

Kwake taifa hili ni kwanza kabla ya chochote kile....

Na kwetu vijana ni lazima Tanzania iwe kwanza kabla ya pumzi zetu.... tuachane na siasa koko za Kiliberali zenye kulichafua taifa hili na viongozi wake "deliberately"....

Akina mh.Rais Ndaitwah na ndugu zetu wanamibia wanaujua UTUKUFU wa dola la Tanzania!

#Viva Tanzania Vivaaaaa!
mwananchi kidakindaki
 
Back
Top Bottom