George Masaju ni mnafiki

George Masaju ni mnafiki

P. Majaribu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
1,192
Reaction score
625
Baada ya muda mfupi,kuteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ndugu George Masaju ameanza kuonesha unafiki mkubwa aidha kwa utashi wake au kuanza kulipa fadhila kwa waliomteua.Mwanasheria huyu mzoefu amenukuliwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari, "kwanini mikataba mingi ya nchi hii haipo wazi".Muheshimiwa huyu bila aibu,amejibu kuwa yeye bado hajakabidhiwa ofisi.Lakini anajisahaulisha kuwa yeye ndiye aliyekuwa naibu mwanasheria mkuu katika ofisi hiyo hiyo.Pia ameshakuwa mshauri wa serikali wa mambo ya sheria kwa muda mrefu.

Hawa ndiyo wale wale tu.
 
CCM wote wameoza, kungekuwa tu hata na mmoja mzima, hakika CCM ingepona, IMEOZAAAAAA
 
Baada ya muda mfupi,kuteuliwa kama mwanasheria mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ndugu George Masaju ameanza kuonesha unafiki mkubwa aidha kwa utashi wake au kuanza kulipa fadhila kwa waliomteua.Mwanasheria huyu mzoefu amenukuliwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari, kwanini mikataba mingi ya nchi hii haipo wazi.Muheshimiwa huyu bila aibu,amejibu kuwa yeye bado ajakabidhiwa ofisi.Lakini anajisahaulisha kuwa yeye ndiye aliyekuwa kaimu mwanasheria mkuu katika ofisi hiyo hiyo.Pia ameshakuwa mshauri wa serikali wa mambo ya sheria kwa muda mrefu.

Hawa ndiyo wale wale tu.
Kaimu au Naibu?
 
mimi kinacho nishangaza ni kuona mtu huyu alie teuliwa alikua pamoja na Werema ambaye alifanya uozo mwingi, bila shaka werema na masaju ni watu ambao walishirikiana katika maamuzi yao, iweje yeye(masaju) apandishwe cheo wakati alikua pamoja na mtuhumiwa mwenzie katika uozo wao? hivi hakuna watu wengine wanaofaa? kilichofanyika ni sawa na kuziba shimo la panya kwa vipande vya mkate.
 
Baada ya muda mfupi,kuteuliwa kama mwanasheria mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ndugu George Masaju ameanza kuonesha unafiki mkubwa aidha kwa utashi wake au kuanza kulipa fadhila kwa waliomteua.Mwanasheria huyu mzoefu amenukuliwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari, kwanini mikataba mingi ya nchi hii haipo wazi.Muheshimiwa huyu bila aibu,amejibu kuwa yeye bado ajakabidhiwa ofisi.Lakini anajisahaulisha kuwa yeye ndiye aliyekuwa kaimu mwanasheria mkuu katika ofisi hiyo hiyo.Pia ameshakuwa mshauri wa serikali wa mambo ya sheria kwa muda mrefu.

Hawa ndiyo wale wale tu.

Huyu bure kabisa! Tena bomu kuliko lililotoka. Mungu atajua yeye au shetani
 
Mlimpiga vita yule mwingine kabla hata hajachaguliwa mkidhani mtafaidi sana,
 
Baada ya muda mfupi,kuteuliwa kama mwanasheria mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ndugu George Masaju ameanza kuonesha unafiki mkubwa aidha kwa utashi wake au kuanza kulipa fadhila kwa waliomteua.Mwanasheria huyu mzoefu amenukuliwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari, kwanini mikataba mingi ya nchi hii haipo wazi.Muheshimiwa huyu bila aibu,amejibu kuwa yeye bado ajakabidhiwa ofisi.Lakini anajisahaulisha kuwa yeye ndiye aliyekuwa kaimu mwanasheria mkuu katika ofisi hiyo hiyo.Pia ameshakuwa mshauri wa serikali wa mambo ya sheria kwa muda mrefu.

Hawa ndiyo wale wale tu.

Kujua jibu la swali hili mpaka kukabidhiwa ofisi?
 
tutafaid nin halaf mapanya bwana lkn mkumbuke hii ni dunia hatukujileta tumeletwa nakumbukeni alietuleta anawaona mnaowafanyia wananchi wananchi wanapata shida kisa uongozi wa kifisad wizi kujinufaisha na familia zenu haya bhana
 
tatizo sio mtu,yani system imeharibika yote.kuanzia kwa balozi wa nyumba 10 mpaka juu.
 
kama alikuwa depute AG na hajuwi sababu ni kwanini mikataba mingi ya serikali haipo wazi basi anatia shaka uwezo na uelewawake wa masuala ya sheria ktk kazi aliyo teuliwa.
 
waandishi wetu nao ni makanjanja au ndiyo hizo bahasha za kaki...

wakati Masaju anatoa utetezi wa kwamba apewe muda ili asome majalada ofisini kisha aje na majibu, kwa nini wasimuulize kuwa miaka yote aliyokaa kama Naibu AG alikuwa akifanya nini? Maana alijibu lile swali kama vile yeye ni mgeni kwenye ofisi ya AG wakati si kweli.
 
Kujua jibu la swali hili mpaka kukabidhiwa ofisi?

...hii hutokea tu kwa mtu ambaye hana analoamini katika utekelezaji wa majukumu yake-robotlike.

Ni ndoto ya jioni kutegemea mabadiliko yoyote kwa mtu wa aina hii.
 
Back
Top Bottom