😂😂😂kwahiyo mabeberu wameshikwa pu**uTovuti rasmi ya Polisi Minneapolis tayari imevurugwa kufikia leo saa 8:23 EAT.
Tovuti rasmi ya jimbo imeonesha dalili ya kuingiliwa.
Anonymous wameanza kuachia video zenye matukio ya kidhalimu yenye kuogofya yanayofanywa na polisi/wanausalama.
Legion ndani ya Anonymous wametahadharisha kutoa madudu ya Marekani muda wowote endapo muuaji Darek Chauvin hatohukumiwa kifo.
Tujifunze hili, tukiamua Muroto hana ubavu wa kutupa kipigo cha mbwa kokoAisee Kweli Us hali ni tete nguvu ya umma ikiamua hakuna wakuzuia
Wadau wa mitandao mnafaham mfumo huu ambao kuna watu wasiojulikana a.k.a (Anonymous) na wanaingia kwenye mtandao kwa kujificha ili kutimiza lengo husika kwa makusudi yao.
Toka mwaka 2017 katikati hawa jamaa hawakuwa na haja ya kuhack mitandao kwa nia yoyote na siyo kwamba walikuta ugumu lah, ila walipotezea kiaina, ila baada ya sakata la kwa George Flyod kumewaibua tena.
Tunaweza kusema, anonymous wamevamia na kushambulia mtandao wa jimbo yalikoanzia mauaji huko Minneapolis. Pamoja na hilo wame-hack mitandao ya redio za polisi na kuanza kufanya maongezi ya ajabu na polisi.
Wametengeneza kirusi kinachomponda Trump kuanzia na tabia zake za nyuma mpaka sasa na kirusi hicho kinaonekana kama sanamu iliyovaa mask kuziba uso huku kikiongea.
Nimeshindwa kuweka clip ya hii story.
NB. Hii vita inaweza kuwa ni zaidi ya kifo cha George.
Uamue na Nani?Tujifunze hili, tukiamua Muroto hana ubavu wa kutupa kipigo cha mbwa koko
Na weweUamue na Nani?
Nenda kwa Twita utafaudu. Yupo huko kajaa tele Ni mwendo wa kufukua makaburi mwanzo mwisho..Tuwekee hiyo website ya Minneapolis police tuone na sisi hizo video walizoweka hao mahacker
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Hapa kuna kitu cha ziada kinaibuka kupitia kuuliwa kwa huyo jamaa na inaingia moja kwa moja kwenye siasa ambapo Trump anaweza kuwa na hali ngumu sana, kwenye uchaguzi ujao.Yani Trump anashindwa kumaliza kesi ndogo kama hii ataweza kuongoza tena miaka 4 ijayo kwa staili hii
Dah!...hawa wadukuzi ni noma aisee.Tovuti rasmi ya Polisi Minneapolis tayari imevurugwa kufikia leo saa 8:23 EAT.
Tovuti rasmi ya jimbo imeonesha dalili ya kuingiliwa.
Anonymous wameanza kuachia video zenye matukio ya kidhalimu yenye kuogofya yanayofanywa na polisi/wanausalama.
Legion ndani ya Anonymous wametahadharisha kutoa madudu ya Marekani muda wowote endapo muuaji Darek Chauvin hatohukumiwa kifo.