yaani naomba kujua kuhusu ajira....zikoje...kweny koz hiyo..
Kila wakati nikienda Tanzania kuna vijana
waliomaliza shule wananiuliza wafanya nini
ambacho ni future. Jibu langu kama unataka
urahisi na kuweza kufanya kazi sehemu yeyote
duniani jifunze computer coding. Miaka ijayo ubunifu mwingi utatokana na
computer na ukiweza kujifunza lugha ya
computer itakuwa rahisi kubuni kitu kipya. Ni
kama hesabu tulianza na table za kujumlisha na
kutoa sasa vijana computer inatakiwa kuwa
somo kama lugha nyingine yeyote. Je vitu gani vya kusoma vingine ambavyo
vitakuwa vina soko sana 1. Database software SAP, Oracle
2. Project Management
3. Engineering: (a) Petroleum Engineering (b)
Chemical Engineering
4. Geology
5. Finance 6. Computer science lakini ukimaliza hii ni lazima
usome zaidi kwenye software ku specialize Vilevile jinsi ya kufanya presentation na kujua
Advance Excel