Geography of a woman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Geography of a woman

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kyakya, Oct 21, 2011.

 1. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Between 18 and 20 a woman is like Africa, half Discovered, half wild, naturally beautiful with Fertile deltas.
  Between 21 and 30 a woman is like America , well Developed and open to trade especially for someone with cash.
  Between 31 and 35 she is like India, very hot, Relaxed and convinced of her own beauty.
  Between 36 and 40 a woman is like France - Gently aging but still a warm and desirable place to visit.
  Between 41 and 50 she is like Yugoslavia , lost the War - haunted by past mistakes. Massive Reconstruction is now necessary.
  Between 51 and 60, she is like Russia , very wide and borders are un-patrolled. The frigid climate keeps people away.

  Between 61 and 70, a woman is like Mongolia , with a glorious and all conquering past but alas, no future.
  After 70, they become Afghanistan.Almost everyone knows where it is, but no one wants to go there.
   
 2. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  This is funny!!

  Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 9 alikuwa anahitaji
  sana shilingi
  100,000
  (laki moja). Akamuuliza mama yake ni jinsi gani
  anaweza kupata pesa
  hizo.
  Mama yake akamwambia "muombe Mungu atakupatia. Mtoto
  alianza kuomba
  kila
  siku na kila mara lakini hakupata hiyo pesa toka kwa
  Mungu. Hatimaye
  akafikia uamuzi wa kumuandikia barua Mungu ili asome
  maombi yake.

  Kisha akai-post barua ile. Wakati wafanyakazi wa
  posta wakichambua
  barua
  kwa ajili ya kuzipeleka sehemu husika, walishangazwa
  kuona bahasha
  iliyoandikwa "Kwa Mwenyezi Mungu" na wakashindwa
  kuelewa mahali pa
  kuipeleka, Wakaamua kuifungua.

  Barua ilisomeka hivi:

  " Mpendwa Mungu,

  Jina langu ni EMMANUELEY, nina umri wa miaka 9 na
  ninasoma darasa la
  tatu
  katika jiji la Dar es salaam ambalo liko katika nchi
  ya Tanzania bara la Africa .

  Nimeamua kukuandikia barua hii kukuomba kiasi cha
  shilingi laki moja
  baada
  ya kuomba bila kupata majibu toka kwako.

  Naomba sana unisaidie kwani mimi ni mtoto mdogo na
  sina uwezo wa kufanya
  kazi na kupata pesa. Pia wazazi wangu hawana uwezo
  kwani hata nchi yetu
  ni
  maskini sana .
  Natanguliza shukrani.

  Wako mtiifu,


  EMMA."

  Wafanyakazi wa posta walifurahishwa sana na barua
  hiyo na kisha wakaamua
  waipeleke kwa Rais KIKWETE . Rais KIKWETE naye
  alipoipokea ilimfurahisha
  sana na kisha akamwambia Secretary wake achukue sh.
  2000 amtumie mtoto
  huyo
  akidhani kuwa pesa hizo ataziona kuwa nyingi sana .

  Mtoto huyo alipopokea hizo shilingi 2000 alijibu
  hivi:

  "Mpendwa Mungu wangu,

  Nashukuru sana kwa kusikiliza maombi yangu na
  kunitumia pesa
  nilizokuomba.
  Lakini nimebaini kuwa uliamua kuzituma kupitia
  serikali yetu ya Tanzania
  .
  Kama ilivyo kawaida yao hao wezi, wamekata kiasi cha
  sh. 98,000 kwa
  ajili
  ya kodi , kwa hiyo wameniletea Sh. 2000 tu.
   
 3. fige

  fige JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na jigrafia ya mwanaume ikoje ?
   
 4. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Why condoms Come in packets of 3, 6 & 12

  A man walks into a drug store with his 8-year old son.
  They happen to walk by the condom display, and the boy asks, "What are
  these, Dad?

  To which the man matter-of-factly replies, "Those are called condoms,
  son. Men use them to have safe sex."

  "Oh I see," replied the boy pensively. Yes, I've heard of that in
  health class at school."

  He looks over the display and picks up a package of 3 and asks, "Why are
  there 3 in this package?"

  The dad replies, "Those are for high school boys, ONE for Friday, ONE
  for Saturday, and ONE for Sunday."

  "Cool" says the boy.

  He notices a 6 pack and asks, "Then who are these for?" "
  Those are for college men," the dad answers, TWO for Friday, TWO for
  Saturday, and TWO for Sunday."

  "WOW!" exclaimed the boy, "then who uses THESE?" he asks, picking up a
  12 pack!


  With a sigh and a tear in his eye, the dad replied, "Those are for the
  husbands.

  ONE for January, ONE for February, ONE for March, ONE for April........"
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh............
   
 6. unejoune

  unejoune Senior Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Inaendana na ukweli, asante mkuu
   
 7. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Jf is never borrin..... Teh! Teh! Teh! Mmmh... Mbafu sangu jamani
   
 8. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  that is nice....nimeipenda
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ni ukweli kuwa husbands tunakuwa deprived na hii necessary and very important service!
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Huyo dogo naye alikuwa mpunguzi
   
 11. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kesho nitai-posti ya Mwanaume stay tuned!
   
 12. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha uzushi weweeeee......muone vile
   
Loading...