mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
sisi wapenzi wa timu yetu bora hapa nchini namuonea huruma kaburu kumsikia kila mara kusema habari za simba nauliza hakuna msemaji wa simba au tumebadilisha mtindo siku hizi
Fiorentino Perez rais wa Real Madrid kila siku anatoa matamko katika mitandao kutetea usajili wao wa msimu huu, vipi naye ni msemaji wa Real Madrid?
mimi nasema simba wewe unasema Real madrid wabongo bwana kujifananisha na wazungu na ndio mzungu mwanamme akivaaheleni nasisi tunataka kuiga
Nataka kukuonesha kuwa si lazima uwe msemaji wa tasisi flani ndo uwe unatoa matamko wewe tu. Mfano Ndugu Asah Mwambene ni msemaji wa Serikali ya Tz, lakini ulishamsikia hata siku 1 akitoa matamko kuhusu mambo yanayoendelea nchini, mf. mauaji ya albino, bunge la katiba n.k? So sio kwasababu eti kuna msemaji wa taasisi flani, mabosi wake na huyo msemaji hawaruhusiwi kutoa ufafanuzi pale unapohitajika kuhusu taasisi zao.
Sembo jaja anakupa hi
mansoorsaid kila siku tunamuona Kamanda Kova akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya usalama, kwani Kamanda Kova ni msemaji wa jeshi la polisi? Mama Advero Senzo ambaye ndo msemaji wa jeshi la polisi kazi yake ni nini hasa, kama Kova ndo anaongea kwenye kila tukio?
Kuna haja gani Rais JK mara kwa mara kuwaita wazee wa Dar katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kutoa matamko mbalimbali wakati ana msemaji wake Ndugu Salva Rweyemamu? Kwanini Salva asitoe hayo matamko?
Umewahi kumsikia msemaji wa Chelsea? Mbona kila siku Morinyo kwenye Media na huulizi? na bado timu inashinda...sisi wapenzi wa timu yetu bora hapa nchini namuonea huruma kaburu kumsikia kila mara kusema habari za simba nauliza hakuna msemaji wa simba au tumebadilisha mtindo siku hizi
Nini Oktoba 12, unakumbuka December 21? Sasa yule aliyeokoa aibu ya nyinyi kupigwa miguu ya kigoda kwa mtungi, katua kwa kishindo Msimbazi. Anataka kuwaonesha kwamba hakuwashinda kisheria tu bali hata mpira hamumuwezi....Haha.. Ukionana nae mwambie tukutane oktoba 12 machinjio ya taifa.
kova anazungumzi mambo ya mkoa kama vijambazi senso au mgulu atazungumza suala zito sikatai kaburu kusema atasema mambo mazito simba sio simba kucheza na timu fulani au kuweka kambi
Nini Oktoba 12, unakumbuka December 21? Sasa yule aliyeokoa aibu ya nyinyi kupigwa miguu ya kigoda kwa mtungi, katua kwa kishindo Msimbazi. Anataka kuwaonesha kwamba hakuwashinda kisheria tu bali hata mpira hamumuwezi....
Hata hivyo kama mlishindwa msimu uliopita Mnyama alipoteguka mguu, goli tatu zikarudishwa ndani ya dk 45 mkatimuana benchi nzima mpaka msemaji wa timu itakuwa mwaka huu? Mwaka huu andaeni kabisa malipo ya kuvunja mkataba na Maximo....
sisi wapenzi wa timu yetu bora hapa nchini namuonea huruma kaburu kumsikia kila mara kusema habari za simba nauliza hakuna msemaji wa simba au tumebadilisha mtindo siku hizi
Hii ya kaburu haijakaa vizuri kabisa. Amwachie afisa habari wa simba afanye kazi yake. Kila siku yeye tu kuanzia magazetini, e fm, radio uhuru, times fm, radio one, radio free africa n.k. Mgawanyo wa kazi ni muhimu au kama haiwezekani simba wabadili katiba na kufuta hiyo nafasi ya msemaji wa timu.
Unamfahamu Afisa Habari wa Simba? Wewe unayejua sana masuala ya Simba SC tusaidie sisi wasomaji jina lakeHii ya kaburu haijakaa vizuri kabisa. Amwachie afisa habari wa simba afanye kazi yake. Kila siku yeye tu kuanzia magazetini, e fm, radio uhuru, times fm, radio one, radio free africa n.k. Mgawanyo wa kazi ni muhimu au kama haiwezekani simba wabadili katiba na kufuta hiyo nafasi ya msemaji wa timu.
Yuko bize anaongea na kiboko ya nyavu KiongeraSembo jaja anakupa hi
Kwani Asha Muhaji aliondolewa kwenye nafasi ya Msemaji wa Simba SC????...Sasa Unasema Amwache Afisa Habari Azungumze Je Yupo? Basi Tutamteua JAJA Awe Spokesperson Wa Simba Na Wa Okwi!
Kwani Asha Muhaji aliondolewa kwenye nafasi ya Msemaji wa Simba SC????...