Wataalam wa koz hii wanaajiriwa sana na wizara ya ardhi, tamisemi na katika halmashuri nyingi za bongo kwa kifupi wataalam wakoz hii wanatumika sana katika ku create system mbalimbali za kurahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali za kiijografia kwa urahisi ili kuboresha huduma zitolewazo na taasisi hizi.