Genuine Leather Handbag for Corporate Ladies

Nkandi

Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
83
Reaction score
42
Handbags from UK for Corporate Ladies are now available (Brown and Black), delivery is free within Dar Es Salaam @130,000/=

For order contact:0784860899
 
Attachments

  • New Order (1).jpg
    New Order (1).jpg
    7 KB · Views: 92
Heading na ujumbe tafauti. Kwenye heading unasema genuine leather, kwenye post hausemi kama ni genuine leather. Genuine leather kwa bei hiyo? Inavutia machoni lakini.
 
Zote ziko kama hiyo au kuna aina tofauti tofauti?
 
only for corporate ladies? .....mhhhh segregation !!!!!
 
Handbags from UK for Corporate Ladies are now available (Brown and Black), delivery is free within Dar Es Salaam @130,000/=

For order contact:0784860899

Lol mimi nauza 70,000 shillings.
 
Lol mimi nauza 70,000 shillings.

Ni sawa,hamna sababu ya ku argue,gharama ya bidhaa na ubora ndiyo inayo determine bei,nakushauri uwatangazie watu bidhaa yako hili soko liamue.

Kila la heri Natalia katika biashara yako
 
Heading na ujumbe tafauti. Kwenye heading unasema genuine leather, kwenye post hausemi kama ni genuine leather. Genuine leather kwa bei hiyo? Inavutia machoni lakini.

Salaam, King'asti hiyo ndiyo bei tunayouza ndugu,ina ubora wa uhakika kama ilivyo kwenye picha
 
Zote ziko kama hiyo au kuna aina tofauti tofauti?

Riwa;4936587 zipo chache sana,hawauzi zaidi ya 40pcs kwa mtu mmoja,zipo black na brown tu aina hiyo hiyo
 
only for corporate ladies? .....mhhhh segregation !!!!!

Yoyote tunamuuzia,ingawa wanaothamini ubora wa bidhaa kama handbags wengi ni wa aiana hiyo kwa mujibu wa nafasi zao,kumbuka lazima uwafahamu wateja wako unapotaka kuuza kitu...
 
Mi kama ni lebo ya D&G niambie nizijie zote kwa mpigo
 
Yoyote tunamuuzia,ingawa wanaothamini ubora wa bidhaa kama handbags wengi ni wa aiana hiyo kwa mujibu wa nafasi zao,kumbuka lazima uwafahamu wateja wako unapotaka kuuza kitu...

Nataka nimkamatie moja wifi/shemeji yako sasa atajuaje nimekamata bei mbaya huo mzigo ili anipende mara dufu
 
Atajua kutokana na ubora wake na uzuri wa handbag yenyewe,zipo unique sana,hakika ataona upekee wake kwako kwa kumpatia zawadi ambayo haipo kwa wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom