Thank you too, you the best of the best....Huyu Kongosho hanipi tabu,na utu uzima wangu najua jinsi ya ku-deal na mawifi wanoko....sasa tuache simu nyumbani dearest...nakerwa na usumbufu wa new fiancee's....halafu mpigie simu nani yule na nanihii basi,tuwe na kampani kidogo....nakaribia kufika,nifungulieni...lol