SL ntarelax vipi wakati ndani ya siku moja nimefunguka nikamwaga sifa kibao, nikafunguka tena zaidi, nikatolewa nishai, nikasema kilugha na bado Kongosho akataka kuniingiza town na tafsiri matata?
Ngoja nichukue mapumziko ya muda, ntarudi aibu na uchungu vikiisha.
@NN japo umenidissapoint kwa kunisema/nijibu kwa kilugha chenu nakuachia ugentleman wako. Japo sitakufagilia zaidi , sitoua.
@Kongosho sikupendi tena, umenivuta weeeee mpaka nikaangukia uso alafu hata hukuninyanyua ukanikanyaga na kunikanyaga.
@Mr. Rocky, nafurahi nimegundua mapema kwamba wewe sio rafiki yangu.
@Boss hayo mashtaka potezea tu bana, adhabu yangu nimeshaipata.
@Mbu nimerudi rasmi nilipokuwepo, sasa hivi hamna cha vigezo wala viwango kufikiwa, narudi kuwa mwanajeshi.
@Michelle. . . dearest uniletee ice cream ya kujiliwaza.
@Kurwa usiache kuja kunibembeleza.
@Wengine wote fanyeni kama hamjaona kwanzia nilipomtaja huyo gentleman.
So long. . . . .
Huyo mtu huwezi kumpata akiwa tayari a gentleman as described by Lizzy, just take the one you are attracted to alafu mgeuze hivo basi...
ntashikikaje wakati nguo nlizovaa mezimwagia mafuta ya taa mkanichoma moto?
Hhhhm, usijaribu kunambia kakako anahusika. Hata kama yule nae anafanania na wa kwenu.
hebu kuwa clear nikuelewe.....
usife na tai shingoni....
Forget the ice cream dearest. . . i'm all cheered up now. How about we go out instead. . . . ?Dearest, am proud of you....this is what we call Daring, well done, the best is yet to come.....!!
On my way, with your favourite ice cream and some more surprises....see you soon!!
Love is in the air......you go Lizzy!
🙁 🙁 🙂 🙁 🙁
shingoni nina kamba, ya pamba lakini
so haitaniua
Masifa yote haya utafanya nibadilishe direction. You better be back soon.
Boss nipo hapa
usije sema sikukupa nafasi ya kuongea
ya kuondoa mafindo findo yako ya moyoni...
hii ndo nafasi yako....
nafasi ya viti maalum au ya kugombea?
Imekaa ki viti maalumu tena kupitia vijana
akati mie niko late 40's
Forget the ice cream dearest. . . i'm all cheered up now. How about we go out instead. . . . ?
Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy
Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.
I tought you'b be happy for me dearest?Dearest, i borrowed money to buy this ice cream for you, and now,you tell me to forget it? well, am not happy...let me go back home and watch desperate housewives and then sleep....!!
haya,we leta mbwembwe....
kila swali unajibu kwa swali...
kuwa na uhakika tu na unachofanya...
Mmmh. . .check out p unit (ke) current hit song lyrics 'Gentleman ' sijui huyu ndio husband material au vipi? Mistari/Nipate baby kwenye bar! Uliza shorty what u drinking cause i am gentleman kwani iko nini?
Dearest, i borrowed money to buy this ice cream for you, and now,you tell me to forget it? well, am not happy...let me go back home and watch desperate housewives and then sleep....!!
Dearest, i borrowed money to buy this ice cream for you, and now,you tell me to forget it? well, am not happy...let me go back home and watch desperate housewives and then sleep....!!