K kanewi JF-Expert Member Joined Jun 12, 2012 Posts 298 Reaction score 204 Sep 25, 2021 #1 Nahitaji kuwa na mtu mmoja wa kufanya nae biashara kubwa ya stationary kibwa sana mjini Bukoba,,awe seriously kwa hilo mimi nipo Dar es salaam ila ni mzaliwa wa Maruku,yeye awe ni mtu ambae makazi yake yawe Bukoba,, njoo ijbox tuongee
Nahitaji kuwa na mtu mmoja wa kufanya nae biashara kubwa ya stationary kibwa sana mjini Bukoba,,awe seriously kwa hilo mimi nipo Dar es salaam ila ni mzaliwa wa Maruku,yeye awe ni mtu ambae makazi yake yawe Bukoba,, njoo ijbox tuongee
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,589 Reaction score 61,003 Sep 25, 2021 #2 Partnership kwa waafrika kwenye biashara ni changamoto, bora uanzishe utafute mtu wa kumuajiri, na weka mazingira ya kumfanyia auditing.
Partnership kwa waafrika kwenye biashara ni changamoto, bora uanzishe utafute mtu wa kumuajiri, na weka mazingira ya kumfanyia auditing.